Official Setup
KINGMU616 SHIELD GUARDS
Toleo 1.0.0 · Android 5.0 – 16 (aina zote za simu) · Kingmu616 Solutions
QR ya Kupakua
Scan kupakua APK
Fungua kamera → scan → APK ianze kupakua yenyewe.
QR ya Work Setup (Device Owner)
Scan wakati wa flash
Kwenye Android Setup Wizard, gonga skrini ya kwanza mara 6 kisha scan QR hii — installation itaanza yenyewe kama Device Owner.
Fungua link hii kwenye simu ya Android
App hii inafanya kazi kwenye Android pekee. Scan QR au fungua kingmu616solutions.com/install kwenye simu.
Hatua za Ku-install
1
Kubali kupakua
Chrome/Samsung Internet inaweza kuonyesha onyo 'This type of file can harm your device'. Bonyeza Download anyway - hii ni app rasmi ya Kingmu616.
2
Ruhusu 'Install unknown apps'
Ukifungua APK, Android itakuomba uruhusu kivinjari kusakinisha. Bonyeza Settings → Wezesha 'Allow from this source' → Rudi nyuma.
3
Sakinisha
Bonyeza Install. Baada ya sekunde 5-10, app itakuwa tayari. Bonyeza Open kuanzisha setup ya ulinzi.
4
Wezesha Device Admin (MDM)
App itaomba ruhusa ya Device Administrator, Notification Access, na Accessibility - kubali zote ili ulinzi mkali (anti-theft, remote lock, SIM change alert) ufanye kazi.
5
Weka PIN & Ingia
Weka PIN ya siri ya kifaa chako na ingia na akaunti yako ya Kingmu616. Baada ya hapo kifaa chako kiko chini ya ulinzi kamili wa 24/7.
Onyo: Pakua toleo hili kutoka domain rasmi
kingmu616solutions.com/install pekee. Toleo la kughushi linaweza kuiba data yako. Ukihitaji msaada, wasiliana WhatsApp kupitia kitufe cha kijani chini kulia.Imethibitishwa · SHA rasmi ya Kingmu616 · Encrypted TLS
Pata QR / Msaada