Ukaguzi wa Usalama
Tunakagua mifumo yako kwa idhini yako, tunatoa ripoti ya udhaifu na hatua za kurekebisha.
Huduma
Kila huduma inatolewa kwa kanuni za kimaadili na kwa idhini kamili ya mmiliki wa mfumo. Tunaeleza kila hatua kwa lugha unayoielewa.
Tunakagua mifumo yako kwa idhini yako, tunatoa ripoti ya udhaifu na hatua za kurekebisha.
Usanidi wa Linux server, backup, monitoring na kuimarisha (hardening) kwa utendaji bora.
Warsha za usalama kwa wafanyakazi: phishing, nywila imara, na utunzaji wa data.
Ujenzi wa tovuti za kisasa, dashboards na integration za API zinazokidhi mahitaji yako.
Uwekaji wa 2FA, usimamizi wa nywila na urejeshaji wa akaunti zilizoathirika.
Mikataba ya support ya mwezi kwa mwezi yenye majibu ya haraka na ufuatiliaji.
1. Mazungumzo
Tunasikiliza tatizo lako na malengo yako.
2. Tathmini
Tunachunguza mfumo na kuandaa mpango wazi.
3. Utekelezaji
Tunafanya kazi kwa hatua zenye ripoti.
4. Ufuatiliaji
Tunabaki nawe kwa msaada wa muda mrefu.
Tunapokea malipo rasmi na salama kupitia mitandao yote mikuu ya simu, mabenki ya Tanzania, QR Code na sarafu za kidijitali (USDT/Crypto).
Lipa Moja kwa Moja — bonyeza kadi kukopi namba